UPO SEHEMU SAHIHI, KAMA NI MMOJA WA WATU WANAOTAFUTA KAZI, WANAOTAKA KUJIENDELEZA KITAALUMA, WANAOTAFUTA MBINU ZA KUPANDISHWA WADHIFA KAZINI NA WADAU WOTE KWA UJUMLA
Daraja La Ajira Tanzania ni moja wa mtoto wa DARAJA LA AJIRA AFRIKA, ambaye anahusika zaidi kuhakikisha Tanzania inafanikiwa katika maswala mazima ya ajira.
Tanzania ina kundi la watu hususani vijana walio katika uwezo wa kupata ajira katika sekta binafsi na serikalini, lakini kuna changamoto nyingi zinazowasibu kutofanikiwa katika michakato ya kupata kazi, wengine wapo kazini lakini hawana mbinu za kushawishi menejimenti kuongezewa maslahi au kupandishwa ngazi.
Kupitia Daraja La Ajira Tanzania tutakuja na suluhisho ya changamoto hizi na kutatua vikwazo vyote kwa kukutanisha wadau, kutoa mafunzo na semina mbala zitazohusu sekta ya Ajira nchini Tanzania na ulimwenguni kwa ujumla.
Jiunge Na MaKundi Yetu Ya Whatsapp Kwa Kubofya :
Karibu sana,
Peter John ( Dribble Da Mania)
CEO - +255 759 850 259
Daraja La Ajira Tanzania
No comments:
Post a Comment